Mama mzazi wa Mr. Nice asema haya baada ya mwanae kuzushiwa taarifa za kifo

Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa siku nyingi wa bongofleva Mr. Nice amefariki na mwili wake upo Hospitali ya Taifa Muhimbili.  Mama Mzazi wa Mr. Amesema Haya:


“Kusema ukweli hayo mambo yalisemwa lakini mimi nilizungumza na mwanangu live akasema yeye ni mzima wa afya mimi sikusikia kwenye vyombo vya habari nilisikia watu wakisema ndio nikataka anipigie simu ili niweze kujua hali yake ikoje. Alinipigia tukazungumza” – Mama Mr. Nice

Chapisha Maoni

0 Maoni