Mwigulu Nchemba : Askari hapaswi kulaumiwa kwani hufata amri kutoka kwa wakubwa

Katika utaratibu wa utekelezaji wa majukumu katika vikosi vya ulinzi na usalama, askari hufata amri za viongozi wa juu hivyo iwapo katika utekelezaji wa majukumu yao pakitokea madhara wakulaumiwa ni viongozi waliotoa amri na wala si askari.


Vyombo vya haki za binadamu hulaumu askari wakitekeleza majukumu yao lakini iwapo majambazi wakidhuru raia au askari vyombo hivyo hukaa kimya .
Waziri wa mambo ya ndani ameyasema hayo akihojiwa moja kwa moja na kituo cha Star TV katika kipindi cha Tuongee Asubuhi jimboni kwake Iramba Singida.

Chapisha Maoni

0 Maoni