Ridhiwan Kikwete awaponda Diamond, Ali Kiba, awapa onyo kali

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big


Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye

Chapisha Maoni

0 Maoni