Sherehe za uhuru kesho, hawa hapa marais watakaohudhuria sherehe hizo

WhatsApp-Image-2016-12-07-at-7.18.18-PM.jpeg

Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.


  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.

Chapisha Maoni

0 Maoni