SAD NEWS!! AJALI Mbaya Imetokea Maeneo ya Mbwewe na Manga Tanga..

AJALI Mbaya Imetokea Maeneo ya Mbwewe na Manga Tanga..


Kuna ajali ya Gari imetokea kati ya Mbwewe na Manga Tanga kuhusisha RAV 4 no T 455 CLA ya kugongana na lori. Taarifa za awali zinasema kuna waliofariki na kujeruhiwa.. Mungu awalaze mahali pema Marehemu na kuwapa uponaji majeruhi.
Taarifa kamili itawajia baadae

Chapisha Maoni

0 Maoni