Everton Yathibitisha Kuja Tanzania,Kucheza na Timu Hii

Klabu ya Everton ya Nchini Uingereza Imethibitisha kuwa Itakuja Tanzania na Itacheza mechi July 13, Na watakapokuja watacheza na Bingwa wa michuano ya SportPesa ambayo Inashirikisha Timu za Tanzania na Kenya.



Katika Timu za Tanzania bara ni Yanga, Simba na Singida United pamoja na Timu ya Jang'ombe Boys kutokea Visiwani Zanzibar. Ikumbukwe Everton ni moja kati ya klabu zinazodhaminiwa na SportPesa.

Chapisha Maoni

0 Maoni