TETESI ZA USAJILI :Yanga kusajili watatu kutoka Simba, Wafahamu hapa

Image result for yanga na simba
Kulingana na BINGWA klabu ya Yanga inatajwa kuwa kama mambo yataenda kama yanavyoenda basi tuwategemee wachezaji Ibrahim Ajib, Kiungo Jonas Mkude na Mohammed Ibrahim maarufu kama Mo Kujiunga na Yanga Msimu Ujao.


Kinachosubiriwa na Ripoti ya Kocha George Lwandamina, Ajib na Mkude wamekuwa wakitajwa Yanga kwa muda toka katikati mwa msimu huku mchezaji Mo Ibrahim akitajwa 

Chapisha Maoni

0 Maoni