Mzee Akilimali:"Viongozi waliopo wakijiuzulu,Nitamwaga mapesa Kibao ya Usajili

Image result for mzee ibrahim akilimali
Mzee Akilimali ambaye ni katibu wa Baraza la wazee wa KLABU ya Yanga amesema Ikitokea Viongozi waliopo wakajiuzulu basi yeye atatoa mapesa Kibao ili wafanye Usajili kwa manufaa ya Klabu Hiyo.



Mzee akilimali Ameyasema hayo akiongea na Kipindi cha Michezo cha East Africa Radio, Akiongea Kuhusu habari za Kutaka kugombea Uenyekiti ndani ya Klabu ya Yanga amesema Ni kweli anawaza Kufanya Hivyo ila tatizo ni kukosa Kigezo hasa cha Elimu

Chapisha Maoni

0 Maoni