Tetesi za usajili Simba na Yanga leo Tarehe 15.6.2017 hizi hapa

Image result for yanga na simba
Klabu ya Simba inadaiwa Kumalizana na Kiungo Mnyarwanda wa Yanga Haruna Niyonzima anayedaiwa kumalizana nao, Simba wanadaiwa kutoa Shilingi Milioni 110, Simba walimfata Niyonzima Nchini Rwanda na Kumalizana naye mbele ya Mkewe.



Nao Yanga wanadaiwa kumalizana na Mchezaji Ibrahim Ajib Ambaye amepewa Mkataba wa Miaka Miwili. Ikumbukwe dirisha la Usajili linafunguliwa leo Rasmi Tutegemee mengi kuhusu Usajili. (Source Bingwa)

Chapisha Maoni

0 Maoni