Wanyama apata tuzo ya bao bora England

Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama wa Tottenham Hotspur akiwa ameshika tuzo yake ya
Bao Bora la Mwezi Ligi Kuu ya England alilofunga kwenye mechi dhidi ya Liverpool. Wanyama amewashinda Danilo, Mario Lemina, Jose Izquierdo (twice), Mohamed Salah, Sergio Aguero na Adam Smith kutwaa tuzo hiyo.

Chapisha Maoni

0 Maoni