Hatimaye Maalim Seif akubali kukaa meza moja na Prof. Lipumba

Katibu Mkuu CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema yupo tayari kwa mazungumzo mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya msajili, Profesa Ibrahim Lipumba.

Chapisha Maoni

0 Maoni