Leo Mh Rais kupitia Mteule wake, DC Salum Hapi amefuta umiliki wa Shamba
ekari 35 zilizokuwa zinamilikiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick
Sumaye.
Akizungumza Leo, RC Salum Hapi amesema sumaye hatakiwi kufanya chochote
kwenye shamba hilo kwani kashanyang'anywa na limerydishwa Halmashauri ya
Manispaa ya kinondoni.
Sumaye alikuwa anamiliki ekari 35 maeneo ya Mabwepande Kinondo na
ilitokea mgogoro baada ya wakazi kulivamia kutokana kutoliendeleza kwa
mda mrefu.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA