Mtangazaji wa Ala za Roho kipindi kinachorushwa na Clouds FM, Diva the bawse ametoa kauli kupitia mtandao wa twitter ambayo imezua gumzo kutokana na alicho kiandika. Mwanadada Diva aliweza ku tweet kuhusiana na uwezo wa alikiba katika kuimba na kumalizia kuwa “Girlfriend anakutia gundu” kitu ambacho wengi walijiuliza inamaana Jokate (Kama inavyo julikana kuwa ndiye wa Kiba) kuwa anamtia gundu!
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA