Wabunge waridhia msimamo wa Serikali wa kutokusaini mkataba wa EPA


Bunge la Tanzania limeridhia msimamo wa Serikali ya Tanzania wa kutokusaini mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi (EPA) baina ya nchi za jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) na umoja wa ulaya(EU).


My take:
Nawashukuru sana Wabunge wa Tanzania kwa kuweka Taifa kwanza mbele, na ninashukuru Edward Lowassa na Sumaye waliotia nanga Dodoma kuwafunda wabunge wa UKAWA, matunda yanaonekana.

Naishauri Serikali iache kisainia Mikataba Ikulu. Ni vyema Mikataba yote iwe inapitia bungeni kwa Masilahi mapana ya nchi. Naamini kama Serikali ingekuwa na utaratibu wa kupitisha Mikataba Bungeni, sasa hivi tungekuwa tumeona manufaa ya Madini, gesi na Mafuta.    

Chapisha Maoni

0 Maoni