Air Tanzania imetua Arusha airport imeshindwa kugeuka



Ndege ya Shirika la Air Tanzania imetua Arusha airport imeshindwa kugeuka.

Mpaka sasa ndege air tanzania bado imekwama hapa uwanja mdogo wa arusha baada ya kushinda kugeuka wakati wa kutua

Chapisha Maoni

0 Maoni