
Mchezo wa Kirafiki kati ya Simba na Mtibwa Sugar umemalizika kwa Mtibwa Kuoata Ushindi wa Mabao mawili kwa moja (2 kwa 1) .
Ndugu mtembeleji wetu wa MAHENGA BLOG magoli ya Mtibwa yalifungwa na Mbonde na Jaffary Salumu huku bao la Simba Likifungwa na Mo Ibrahim

0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA