KOMBE LA MAPINDUZI LINATARAJIWA KUANZA DECEMBER 30 MPAKA JANUARY 13 MWAKANI.
HAYA NDIYO MAKUNDI KOMBE LA MAPINDUZI.
KUNDI A
- SIMBA
- TAIFA JANG'OMBE
- JANG'OMBE BOYS
- KVZ
- URA (UGANDA)
KUNDI B
- YANGA
- AZAM
- JAMHURI
- ZIMAMOTO
Mkazi wa Mwanza, Emmanuel Mahumbi (38) jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu M…
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA