Awataka wananaodai fidia kukumbuka makubaliano YA awali
- wananchi walakamikia kero YA Barabara na Daraja
MKuu wa Mkoa wa Mbeya ametembelea Shule YA sekondari YA MWASANGA na baadaye kufanya mkutano wa hadhara na kutangaza kuwa hakuna madai yoyote YA fidia kwasababu ujenzi wa sekondari hiyo YA kata ikishirikisha wananchi mitaa yote na baadhi kutoa maeneo yao bure bila fidia
Amesema chanzo cha madai YA fidia limeibulika kwa misingi YA kisiasa na amewataka wananchi saba wanaotaka kurudishiwa maeneo yao wakumbuke dhamira Nzuri waliyoionyesha mwaka 2004 walipotoa maeneo Yao bila fidia
Katika hatia nyingine wananchi wamemuomba Mkuu wa Mkoa kumbana mkandarasi wa daraja akamilishe kazi kwa wakati kwani wananchi hao wanapata shida YA usafiri hakuna bodaboda au bajaji zinazofika kata YA MWASANGA
Mkuu wa Mkoa amemwagiza mkandarasi akamilishe kazi ktk siku 90 kama mkataba wake unavyomtaka amebaini tarehe 14 Desemba na amalize 14/3/2017
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA