Tetesi za usajili: Yanga kushusha straika, Lwandamina akuna na uwezo wake, ni huyu hapa

Image result for yanga
Yanga wanatajwa tajwa kummendea Straika aliyewafunga bao 2 ndani ya dakika 15, Straika wa JKU Emmanuel Martin anatajwa huenda akasajiliwa Yanga licha ya kuwa Lwandamina alishafunga dirisha la usajili.



Kwamujibu wa habari ambazo MAHENGA BLOG tumezipata kutoka Mwanaspoti ni kwamba Lwandamina alikubali sana uwezo wa Emmanuel Martin kwenye mechi kati ya Yanga na JKU huku akisifia kuwa ana akili nyingi.

Katibu mkuu wa JKU Saadun Maalim amethibitisha kuwa amepokea simu kutoka Yanga wakitaka kufanya mazungumzo ya kumsajili Emmanuel Martin.

Emmanuel Martin mpaka sasa anagoli 6 kwenye ligi ya Zanzibar huku anayeongoza kwa ufungaji akiwa na magoli 8.

Chapisha Maoni

0 Maoni