UMUHIMU WA KUWA NA BUSINESS CARDS


Je unazo business cards za kukutambulisha wewe na biashara yako?

Mara kadha wa kadha huwa najikuta nikipata shida kukumbuka majina ya watu, wakati mwingine naweza kukuta jina la mtu kwenye kitabu changu cha simu lakini nikashindwa kujua huyo mtu ni nani. Namini kuna watu wengi ambao pia wako hivyo. Hivyo ni vigumu sana kumkumbuka mtu ambaye alinipa tu number ya simu, lakini ni rahisi sana pale napokuwa na business card maana inaonesha taarifa zote za mtu nabiashara yake.




Kuna wakati nikiwa Dodoma rafiki yangu alienda Dar es Salaam kununa bidhaa fulani katika duka maarufu sana hapa jijini kwa sasa ambalo wakati huo halikuwa maarufu sana. Alipo rudi dar na kunionesha vitu alivyo nunua nilipenda sana na mimi nikataka nikija Dar niende kwenye duka hilo. Rafiki yangu akaniambia walimpa business card na nyuma ya business card kulikuwa na ramani ya kufika dukani kwao, hivyo ilinisaidia sana kufika dukani kwao na kuniwezesha kuwa mteja wao mzuri tu hadi sasa.

Business cards ni muhimu sana kwa wafanyabiashara.

KAMA UNAHITAJI BUSINESS CARD USISITE KUWASILIANA NASI TUKUTENGENEZEE KWA DISCOUNT KUBWA 
Tel:0758297744/0716824009
E-Mail:godfreymtega@gmail.com
TUNAPATIKANA KINONDONI MANYANYA-DAR ES SALAAM

Chapisha Maoni

0 Maoni