Rais
Magufuli amesema kuwa anatambua ombi hilo la Mkuu wa Mkoa huyo limekuja
baada ya kuona aliwaruhusu waendelea na maisha yao na kutofukuzwa watu
waliovamia ardhi ya Wizara ya Elimu, wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,
iliyotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Chuo.
"Sasa ule msitu ambao upo karibu na Mvomero pale kumbe nao umeshavamiwa na viongozi wangu mpo mpaka zimefika nyumba elfu moja na kitu leo mnaniambia nifute ili kusudi hao watu waendelee kuishi hapo, unajua inaumiza kweli na ombi hili nimeletewa kwa sababu niliwaruhusu watu wa Kahama kukaa kwenye maeneo yao sasa wanataka kuichukulia hii kama desturi lakini suala la Kahama lilikuwa tofauti na suala la hapa, ndiyo maana napata kigugumizi kuvunja sheria ambayo nimeapa kuilinda lakini Mkuu wa Mkoa ameliomba nitalibebe na kulifanyia kazi" alisema Magufuli
Aidha Rais Magufuli alitoa onyo kuwa jambo hilo sasa lisije kuwa mazoea watu kuvunja sheria kwa makusudi halafu wategemee kutumia kauli ya Rais kupata uhalali wa jambo hilo na kusema kama watu wakikata mapori yote nchi itakuwa jangwa.
CREDIT: EATV

0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA