Polisi wakamata tunguli na ngozi ya Chui mkoani Tabora.

Jeshi la Polisi mkoani Tabora limekamata mfuko mkubwa uliokuwa umesheheni nguo pamoja na vitu kama tunguli, huku ndani yake kukiwa kumefichwa ngozi ya chui.


Mfuko huo ulikuwa umetelekezwa na raia wema waliamua kuuchunguza na hatimae wakatoa taarifa kwa Jeshi la Polisi, afisa wa Jeshi la Polisi amewashukuru wananchi kwa hatua hiyo na kusema ni muhimu kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama kila wanapotilia shaka.

Chapisha Maoni

0 Maoni