Bunge lapitisha mswaada wa sheria ya huduma za habari.

Bunge leo limeupitisha Muswada wa Huduma za Habari tayari kusainiwa na Rais ili kuwa sheria kamili. Katika muswada huo makosa ya Mwandishi hayatagharimu chombo chake cha habari.


Jana Rais Magufuli wakati akifanya mahojiano na wahariri wa vyombo vya habari alisema ukifika mezani kwake hautafikisha dakika bila kusainiwa.

Chapisha Maoni

0 Maoni