Zitto Kabwe: Kwa Sheria ya Muswada huu, Mkapa asingekuwa rais, wala Mwakyembe kuwa waziri

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amedai muswada unaotaka kila mwanahabari awe shahada ya uandishi wa habari utakuwa unaua vipaji vya wanahabari wengi kwa kuwa uandishi sio usomi ila ni 'passion'


Ameendelea kusema kuna matukio makubwa ya kitaifa akitolea mfano kuzama kwa mv Bukoba yameripotiwa na watu wasiokuwa na shahada ya habari na yakasaidia pakubwa
Pia amedai hata rais wa awamu ya 3 Benjamini Mkapa hakuwa na taaluma ya habari lakini nyerere alimchagua mhariri wa Ikulu

Pia amedai Mwakyembe hakuwa na taaluma ya habari lakini aliajiriwa kufanya kazi gazeti la uhuru ndio akapata fedha za kwenda kusoma. ANGALIA VIDEO HAPA

Chapisha Maoni

0 Maoni