Shonza: Sugu ni mpotoshaji, sheria mpya ya habari haihusu mitandao ya kijamii

Mbunge wa viti maalum Juliana Shonza amemshukia Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'sugu' kwa kupotosha kuhusu muswada wa sheria ya vyombo vya habari kua utaathiri pia watumiaji wa mitandao ya kijamii

Amedai print media ndio zitakazohusika ambayo ni magazeti na journals




ANGALIA VIDEO HAPA

Chapisha Maoni

0 Maoni