HOTUBA YA MAGUFULI YAGUSA WAKENYA


Katika kusisitiza Magu alichapa KIZUNGU kikali akitoa mfano wa somo la Chemistry nakusema Uhuru{ Kenya} na Magufuli {Tanzania} ni kama catalyst katika kuleta mageuzi kati ya hizi nchi mbili!

Hongera kwa kuondoa HOFU ambayo ndugu zetu walikuwa nayo. Nakuendeleza uhusiano mwema kati ya nchi hizi mbili ambazo wakenya waliguswa sana uliposema Huwa mnaongea na Kenyatta mara kwa mara kwa njia ya simu na pia kuwa WAKENYA ni wa kwanza katika afrika kuwa WAWEKEZAJI wakuu wakiwa na makampuni 500 na kitu na yameajiri zaidi ya watu 56, 000 nchini Tanzania hivyo kuondoa FITINA na uchonganshi!

Chapisha Maoni

0 Maoni