Kuisoma namba: Mali za Kampuni ya Mohamed Trans (yakiwemo mabasi) vyapigwa mnada na TRA

Mali za kampuni za Mohamed Trans mjini Shinyanga zatangazwa kupigwa mnada mnamo tarehe 4 Novemba na Mamlaka ya mapato TRA ili kufidishia kodi aliyokwepa kuilipa.

Chapisha Maoni

0 Maoni