John Heche: Baada ya Kitwanga, waziri wa fedha ndiye atafuatia kutumbuliwa

Mbunge wa Tarime vijijini amesema yeye sio mtabiri ila waziri wa fedha Philip Mpango ndiye waziri atakayefuatia kutumbuliwa na Magufuli


Sababu amedai serikali ikiona mambo yamekwama itatafuta mtu wa kumbebesha mzigo na itabidi azingatie ushauri anaopewa bungeni

Chapisha Maoni

0 Maoni