Rais mstaafu akiwa safarini kutokea Iringa alikokwenda kwenye mahafali
ya chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa alipata nafasi ya kuwaungisha vijana
wanaofanya biashara ya vitunguu katika maeneo ya Ruaha Mbuyuni ikiwa ni
kuwatia moyo vijana hao kwa juhudi wanazozifanya katika kujitafutia
kipato halali.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA