Baada ya ujio wa Lwandamina, Chirwa asitegemee tena jambo hili

Baada ya ujio wa Kocha mpya wa Yanga George  Lwandamina tayari ameshaanza kuonyesha kuwa kutakuwa na mbadiliko kwa baadhi ya wachezaji na mfumo mzima Yanga.


Toka Lwandamina atue Yanga amenukuliwa mara kadhaa kushangaa kumuona Chirwa akicheza kama Mshambuliaji ilihali yeye anamjua Chirwa toka akicheza Timu ya Vijana huko kwao kuwa ni Winga.

Kwahiyo msomaji wa KwataUnit.com  kama Chirwa ataendelea kuwepo Yanga Tusitegemee kuomuona Akicheza kama mshambuliaji badala yake Tutegemee kumuona kama Winga, akicheza kutokea Pembeni.

Chapisha Maoni

0 Maoni