Usiku wa jana wa tarehe 12.12.2016 ulikuwa usiku mzuri kwa nahodha wa Taifa la Ureno na mchezaji wa kutumainiwa wa Real Madrid Cristiano Ronaldo baada ya kubeba tuzo ya Ballon d'or.
Hii inakuwa mara ya nne (4) Kwa mreno Huyo kuchukua tuzo hiyo na katika picha anaonekana akiwa na tuzo huku akionyesha alama ya vidole vinne kuonyesha ni tuzo ya 4.
Ronaldo kupitia mtandao wa Twitter aliandika " Nina furaha kushinda tuzo hii,Nashukuru Real Madrid na Timu ya taifa ya Ureno, Huu ni mwaka wa kushangaza sana "
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA