UNESCO wametangaza nchi ambayo inatoa bia bora zenye viwango vya Juu, Kulingana na UNESCO wametangaza Ubelgiji kama nchi inayotoa bia bora zaidi Duniani.
Ubelgiji inawatu milioni 11 tu lakini ina aina ya bia 1500 zinazozalishwa na zote katika ubora wa hali ya juu.
Ubelgiji bia inaheshimiwa kuanzia kwenye utengenezaji na hata wakati wa kuinywa watu huiheshimu sana bia.
Mwezi wa tisa mwaka huu Ubelgiji waliintroduce mfumo na teknolojia ya bia inayopitia kwenye Bomba kama ilivyo mfumo wa maji ya Bomba.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA