Makontena Mawili Yakamatwa Bandari Kavu AMI Dar na Madawa ya Kulevya


Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa bandari kavu AMI Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya yaliyoagizwa na kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba makontena hayo yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana kwenye vifaa vya kitaalam bandarini humo?

Chapisha Maoni

0 Maoni