Rufaa ya Dhamana ya Mbunge Arusha mjini Godbless Lema itasikilizwa Tarehe 28/11/2016 Mbele ya Judge

Rufaa ya Dhamana ya Mbunge Arusha mjini Godbless Lema itasikilizwa Tarehe 28/11/2016 Mbele ya Judge Massengi, Judge Mwandamizi Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.


Imetolewa na
Afisa habari-Kanda ya kaskazini

Chapisha Maoni

0 Maoni