TANZIA: Waziri Mkuu mstaafu awamu ya nne mh. Mizengo Pinda afiwa na baba mzazi

Waziri mkuu mstaafu mh. Pinda amefiwa na baba yake mzazi mzee Xavery Mizengo Pinda kilichotokea siku ya leo saa 9:30 alasiri hospitali ya mkoa Dodoma.

Mzee Pinda amefariki akiwa na umri aa miaka 90.


Chapisha Maoni

0 Maoni