Katika kuazimisha Siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Kenyatta amewaalika viongozi wa upinzani kwa mazungumzo Ikulu. Hii inaonyesha katika mambo ya kitaifa wao ni wamoja na siasa haziwatenganishi undugu wao
.
Hapa kwetu hata kwenda kwenye harusi ya mpinzani taarifa zako zinachunguzwa maana unahisiwa kuwa ni msaliti. Tujifunze kutoka Kenya ambako tumekuwa tunawatolea mifano mibaya kumbe wao ndio wako vizuri kuliko sisi.
Leo mtu kuwa Chadema kesho ccm au ccm kesho Chadema au CUF lionekane ni jambo la kawaida muhimu utetezi kwa nchi tuu. Maana ndani ya nchi wapo ndugu na jamaa zako watakuwa katika vyama tofauti na chako.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA